Wednesday, December 9, 2009

MAFANS WAIKUBALI"GRAFFITI"YA C.BREEZE.


Baada ya kurealese albam yake mpya "Graffiti "dec 8 amesema amepata sapoti ya kutosha kutoka kwa mafans wake tofauti naalivyo kuwa akifikilia kuwa wameanza kum/dis kutokana na sakata lilomkuta baada ya  kumpiga ex-girlfriend wake rihanna...hii ni project yake kwanza chris brown kuiachia tangu february alipo fanya tukio hilo...breeze amesema mafans wake wameipenda project yake hiyo mpya kwa asilimia 99...

No comments: