Sunday, December 13, 2009

LIL WAYNE "REBIRTH"AISOGEZA MBELE TENA..


Albam yake mpya ambayo ndani yakE kuna NGOMA za  Rock tupu ''rebirth'' ameisogeza tena mbelE mwanzo alisema atairelease December 21 mwaka huu,lakini sasa ameisogeza mbele na ajaweka wazi nilini albam hiyo itaingia kitaa.Weezy kasema Singles  kutoka kwenye albam hiyo "Prom Queen" and "Hot Revolver" atazi release January and March 2010....kwa hiyo huenda albam hiyo itatoka baada ya kuachia single hizo..Weezy albam ya mwisho kuitoa ni Tha Carter III ambayo aliitoa 2008 na ilifika platinum..

No comments: