Wednesday, March 17, 2010

BEYONCE"MIMI NA J-Z NI ZAIDI YA SANA SIO KIDOGO.

Beyonce & Jay z
Beyoncé Knowles ametoa mambo muhimu kati yake na mumewe Jayz kwa kuwahamasisha wanawake kuolewa kwa ndoa ili kuweka mkataba maishani na si mkataba ndoa zinazodumu kwa muda mfupi za mkataba, beyonce amesema yeye na mumewe Jigga hawajaoana kwa majaribio anahitaji kuwa na watoto japo si sasa lakini baadaye na kuishi maisha ya nyumbani


Beyonce amesema maisha ya ndoa yakiwa kama ya wanafunzi wanaowategemea marafiki zao wa kiume kuwasaidia katika masuala mbalimbali hayana future yatakuwa na uoga ndani yake na mambo kama hayo yamewapoteza wanamuziki wengi muhimu ni kwa wasanii wanawake kufanya kazi kwa bidii na kuacha kuwategemea wanaume ili waweze kuwa na mapenzi ya kweli katika ndoa zao.

No comments: