Monday, March 8, 2010

KAA TAYARI KWA "RevelveR"YA T-MAUMIVU.

Mwimbaji ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya grammy T-Pain amewaambia mafanc wake kuwa album yake ya nne ijayo ya RevolveR itakuwa ya tofauti mbaya kwani hato wapa featuring wasanii wengi katika album hiyo


Album hiyo inatarajiwa kutoka mwezi ujao na itakuwa tofauti na album zilizopita kwa kuifanya solo zaidi ili mashabiki wapate utamu zaid amesema kuwa atafanya collabo na mwanamuziki wa miondoko ya country Carrie Underwood kwa kuwa ni muhimu

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante kwa kutuhabarisha habari kama hii.