Monday, March 29, 2010

THE KING IS BACK.

Clifford “T.I.” Harris yupo huru hivi sasa mara baada ya kutumikia kifungo cha mwaka m1 jela kwa kosa la kutumia silaha kinyume na sheria kwa mujibu wa mwanasheria wa TI Steve Sadow amesema kuwa licha ya jamaa kumaliza kifungo hicho lakini bado yupo katika muda wa probation kwa muda wa miaka mitatu, kwa muda huo atatakiwa kuwa anareport kwa maofisa wa police ambao amepangiwa na kutoa taarifa katika safari anazotaka kuziofanya na pia kufanya kazi za kijamii kwa muda usio pungua dakika 400
Lakini wakili wa mkali huyo amesema TI anaruhusiwa kuendelea kufanya kazi zake binafsi ikiwemo kurecord tracks na kufanya show tofauti tofauti.
jamaa anajipanga kutoka na albamu yake mpya August 24 mwaka huu na . B.o.B na Jim Jonsin ni moja kati ya maproduce watakao shioriki katika albamu hiyo
The King is back.

No comments: