Tuesday, March 9, 2010

WYNE AANZA MAISHA YA JELA.

rapa Lil' Wayne ameanza maisha mapya ya mwaka mmoja jela baada ya kucheleweshwa kwa muda mrefu kupelekwa huko kutokana na kukutwa na silaha kinyume cha utaratibu kesi aliyoshtakiwa mwaka 2007
Mkali huyo wa The Lollipopr alipatikana na hatia mwaka jana ya kutaka kufanya uahalifu akiwa na silaha aliyokuwa nayo ikiwa na risasi 40 katika ziara kimuziki tena ndani ya basi
Mwezi uliopita alitarajiwa kuhukumiwa lakini hukumu hiyo ilihairishwa ili akafanyiwe upasuaji hivyo hukumu hiyo ilipangwa kukafanywa machi 2 na leo ndio hivyo tena kipenzi cha wengi amekwenda jela
Tathmini yaonyesha kuwa wakali wengi wa miondoko ya Hiphop hupitia maisha ya jela, kama 2PAC, DMX, ICE CUBE, DR DRE, SNOOP, COOLIO, BUSTER RYHMES, T.i na wengine wengi akiwemo Lil Wayne

No comments: