Wednesday, March 17, 2010

SWIZZ BEAT & ALICIA KEYS"MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA.

Kwa muda mrefu wawili hawa Alicia Keys and Swizz Beatz uhusuiano wao waliuweka siri lakini hivi sasa wakali hao kwenye game wameamua kuuonesha ulimwengu kuwa wanamahusiano.
kwa mara ya kwanza super-producer boyfriend Swizz Beatz alionekana hadharani akionesha upendo dhidi ya Alicia keys wakiti akipiga picha na gazeti la Gotham magazine’s huko New York City on Monday (March 15). Kwa pamoja wawili ho walionekana kuwa na furaha ambapo walipiga picha pamoja na mama mzazi wa Alicia Terri Augello na Busta Rhymes.

No comments: