Tuesday, March 23, 2010

NICOLE NDANI YA "DANCING WITH THE STARS"

Nicole Scherzinger anafuata nyayo za wakali wengine wa kike Toni Braxton, Lil’ Kim, na Mya kwa kuwa msanii nyota wa muziki wa pop kujiunga katika kipindi cha “Dancing with the Stars.” Ambalo huonyeshwa nchini Marekani kwa nyota kadhaa kushindana kucheza wakiwa na partners zao na watazamaji huchagua mshindi kwa kutoa maksi
Hivi sasa piaa bongo kuna kipidi kama hicho ambacho hurushwa na TBC kinaitwa SEREBUKA na kuna mastaa kibao wanaoshiriki akiwemo mkali wa bongo flava kutoka temeke CHEGE na mwanabongo flava mwingine hemed na mwigizaji wa filamu irine uwoya

No comments: