Thursday, March 25, 2010

HAPPY BIRTHDAY KIDUCHU!

Anaitwa argines samson anderson (kiduchu)leo ni siku yenye kumbukumbu kubwa kwake  dizain kama amezaliwa upya vile.....Anywayz twentyfoursevenmishemishe inakutakikia baraka tele...
(picha :hidhini ya http://www.kiduchu.blogspot.com/) ONE.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongera kwa siku ya kuzalwa Agness!!

Unknown said...

naitwa ahmad ally seneda nakutakia maisha marefu upate mume mzur akuoe uishi kwa raha tele dunian bt usimsahau mungu kwani yy ndo mkubwa kwenye hii dunia epuka ya walimwengu awapend kuona watu wanapendana