Thursday, March 25, 2010

SNOOP"AMKUBALI JUSTIN BIEBER


Kupitia interview aliofanya snoop na MTV UK, rapper ameonesha kumkubali dogo anayekuja kwa kasi katika Justin Bieber
Snoop amesema alifanikiwa kukutana live na dogo huyo ameye amesema ni mpole ukimtizama na anatarajia atakuwa mkali zaidi siku za usoni kwa kuwa bado mdogo na anaamini kipaji chake kinakuwa pia
Bieber na Snoop Dogg kwa pamoja juzi March 23 waliachia kazi zao mpya Bieber aliachia My World 2.0 wakati Snoop aliachia Malice N Wonderland.
Snoop amesema haofi kumface Bieber katika chart na mauzo sokono kwakuwa kazi zao zimetoka wakati mmoja ilia anachojali ni ushindani ambao anasema anaukaribisha kwani licha ya kuwa justin ni mkali lakini pia anaamini uwez wake katika kazi alizozitoa
Na amesema anaamini kazi zake zitafanya vizuri kama zinavyotakiwa kufanya

No comments: