Monday, March 22, 2010

DRAKE"JAY Z NI MBADALA WA LIL WYNE.

Rapa Drake amesema jay z ni mtu anammaliza mawazo akimsikiliza kwenye ngoma zake muda huu ambao Lil Wayne yupo jela kutokana na mashairi yake yanayolenga kum-advice mtu .
Ikumbukwe kuwa lil wyne ndiye aliyemuibua drake kwa kumsainisha kwenye label ya young money mwaka jana mwishoni
Drake amesema amemkubali jayz baada ya kushirikiana naye katika album ya blueprint 3 na anatarajia kufanya naye kazi katika wimbo wa thank me later
“jay z anamsaidia sana kutokana na ushauri na maneno yake na ana vitu ambavyo ni tofauti na artist wengine” alisema drake

No comments: