Sunday, December 20, 2009
MARY CHRSMAS & HAPPY NEW YEAR..
twenty 4 seven inakupa card hii ikiwa ni ishara ya kukutakia marry chrismas & happy new year..be blessed.
Wednesday, December 16, 2009
JELA YA NUKIA KWA LIL WYNE 2010.
Rapa Lil Wayne ametokea mahakamani New York leo ambapo amepewa tarehe ya kutolewa kwa hukumu yake mwezi February mwaka 2010. Lil Wayne alikutwa na silaha mnamo October mwaka huu.
Rapa huyo, ambaye jina lake halisi ni Dwayne Carter, alitokea mahakamani hapo majira ya asubuhi, akisindikizwa na washkaji zake wa Cash Money Records, wakiongozwa na mkurugenzi wao Bryan “Birdman” Williams pamoja na Ronald “Slim” Williams
Lil Wayne alibaki kimya wakati jaji akitaja tarehe 9 February kuwa ni siku ya hukumu ya kesi inayomkabili, ambapo Wayne anaangalia kuchezea mwaka mzima nyuma ya nondo huko New York kwa kumiliki silaha kinyume na sheria.
Mwezi October, rapa huyo alikutwa na hatia hiyo ya kumiliki silaha kinyume na sheria. kesi hiyo inaibuka kutokana na kesi nyingine ya mwaka 2007 ambayo bunduki aina ya .40 calliber ilikutwa kwenye basi la Wayne analotumia kufanyia ziara sehemu mbalimbali.
Lil Wayne amezungumzia ishu hiyo hapo kwenye remix ya nyimbo ya “O Let’s Do It” aliyomshirikisha rapa Waka Flocka, ambayo baadhi ya mistari yake inasema:
Habari za hukumu hiyo ya Lil Wayne zimekuja wakati ngoma yake mpya aliyomshirikisha mkurugenzi wa Young Money Records na Eminem iitwayo "Drop The World" ikisumbua sana kwenye chati mbalimbali za internet.
Katika habari nyingine zinazomhusu Lil Wayne, uzinduzi wa albamu yake mpya ya Rebirth ambao ulitakiwa kufanyika baadae sana, umerudishwa nyuma hadi tarehe 1 February kutokana na kuwepo kwa hukumu hiyo.Albamu hiyo itaanza kuuzwa madukani siku chache baada ya Wayne kuanza kutumikia kifungo chake jela.
Rapa huyo, ambaye jina lake halisi ni Dwayne Carter, alitokea mahakamani hapo majira ya asubuhi, akisindikizwa na washkaji zake wa Cash Money Records, wakiongozwa na mkurugenzi wao Bryan “Birdman” Williams pamoja na Ronald “Slim” Williams
Lil Wayne alibaki kimya wakati jaji akitaja tarehe 9 February kuwa ni siku ya hukumu ya kesi inayomkabili, ambapo Wayne anaangalia kuchezea mwaka mzima nyuma ya nondo huko New York kwa kumiliki silaha kinyume na sheria.
Mwezi October, rapa huyo alikutwa na hatia hiyo ya kumiliki silaha kinyume na sheria. kesi hiyo inaibuka kutokana na kesi nyingine ya mwaka 2007 ambayo bunduki aina ya .40 calliber ilikutwa kwenye basi la Wayne analotumia kufanyia ziara sehemu mbalimbali.
Lil Wayne amezungumzia ishu hiyo hapo kwenye remix ya nyimbo ya “O Let’s Do It” aliyomshirikisha rapa Waka Flocka, ambayo baadhi ya mistari yake inasema:
Habari za hukumu hiyo ya Lil Wayne zimekuja wakati ngoma yake mpya aliyomshirikisha mkurugenzi wa Young Money Records na Eminem iitwayo "Drop The World" ikisumbua sana kwenye chati mbalimbali za internet.
Katika habari nyingine zinazomhusu Lil Wayne, uzinduzi wa albamu yake mpya ya Rebirth ambao ulitakiwa kufanyika baadae sana, umerudishwa nyuma hadi tarehe 1 February kutokana na kuwepo kwa hukumu hiyo.Albamu hiyo itaanza kuuzwa madukani siku chache baada ya Wayne kuanza kutumikia kifungo chake jela.
OMARION KUWA NA LABEL YAKE BAADA YA ''OLLUSION''KUDROP SOKONI.
Omarion amesema anafikiria kuanzisha label yake binafsi mara baada yakumaliza albam yake ya 4"Ollusion" ambayo inasimamiwa na campuni ya EMI. amesema anahisi anaitaji kuwa mwenyewe na kuwasimamia artist wengine kwa kuwa hicho nikitu kizuri pia.lakini piiiiiiia amesema amefikiria kuanzisha Label binafsi ili kuepuka usumbufu kama kuchelewa kwa project anazozifanya pamoja na kutokuwa nasauti katika kazi zake...single mpya kutoka kwenye albam yake mpya "I Get It," featuring Gucci Mane,na albam itakuwa sokoni January 12, 2010.
Tuesday, December 15, 2009
BEYONCE ASEMA NINI SIRI YA MAFANIKIO YAKE.
beyonce amesema mafanikio anayo yapata katika game ikiwa ni pamoja na kuwa nominated katika categories nyingi kwenye grammy award msimu huu ni kujituma na kujitoa muhanga katika kutafuta mafanikio, lakini piiiia kuto kujari vibaya vinavyozungumzwa kwa kuwa hivyo huwafanya artist wengi wa kike kupunguza kukomaa na kucool down wakihofia kuandikwa nakuzungumzwa vibaya..Beyonce ameongoza kwa kuwa nominated katika categories 10 nakuwazidi wasanii wengine kama muimbaji wa muziki aina ya Country Taylor Swift ambaye amechaguliwa katika categories 8 akifuatiwa na kundi la Black Eyed Peas, Maxwell naKanye West ambao wote weamechaguliwa katika categories 6.baadhi ya categories ambazo Beyonce amechaguliwa ni pamoja na - Song of the Year (Single Ladies (Put A Ring on It)), Record of the Year (Halo) and Best Album (I Am... Sasha Fierce)Grammy award zitafanyika Staples Center in Los Angeles on January 31.
Monday, December 14, 2009
RICK ROSS APONDA GRAMMY AWARD....
Mkali huyu wa HIPHOP amepinga vikali albam yake ya ''Deeper Than Rap''kuto kuwa nominated kwenye Grammy Award kama albam bora ya msimu huu.na ameponda mpangilio mzima uliotumika mpaka kupata wanaogomea award hizo.alipo ulizwa na moja ya kituo cha radio huko atranta '''anafikiria nini kuhusiana na grammy award '''I think they all haters na kusisitiza'' albam yangu ni kali na na saamini kama watu hamajui albam nikali ila nazani kuna kitu fulani kimefanyika..
TRE-DREAM & CHRISTIANA MILIAN WAFUNGA NDOA..
super star wa r&b Christina Milian and The-Dream hatimaye wafunga ndoa huko las vegas marekani na kisha wakaenda kumalizia furaha yao katika mji wa Roma Italy...japo kuwa ndoa ya wawili hao ilikuwa ya kimya kimya lakini tayari picha zimekwisha kusambaa kwenye mitandao...hapo mwanzo wawili hawa ilisemekana walifunga ndoa ya siri sept mwaka huu lakini haikua hivyo,nainasemekana wanatarajia kupata mtoto hivi karibuni..
Sunday, December 13, 2009
LIL WAYNE "REBIRTH"AISOGEZA MBELE TENA..
Albam yake mpya ambayo ndani yakE kuna NGOMA za Rock tupu ''rebirth'' ameisogeza tena mbelE mwanzo alisema atairelease December 21 mwaka huu,lakini sasa ameisogeza mbele na ajaweka wazi nilini albam hiyo itaingia kitaa.Weezy kasema Singles kutoka kwenye albam hiyo "Prom Queen" and "Hot Revolver" atazi release January and March 2010....kwa hiyo huenda albam hiyo itatoka baada ya kuachia single hizo..Weezy albam ya mwisho kuitoa ni Tha Carter III ambayo aliitoa 2008 na ilifika platinum..
Wednesday, December 9, 2009
MAFANS WAIKUBALI"GRAFFITI"YA C.BREEZE.
Baada ya kurealese albam yake mpya "Graffiti "dec 8 amesema amepata sapoti ya kutosha kutoka kwa mafans wake tofauti naalivyo kuwa akifikilia kuwa wameanza kum/dis kutokana na sakata lilomkuta baada ya kumpiga ex-girlfriend wake rihanna...hii ni project yake kwanza chris brown kuiachia tangu february alipo fanya tukio hilo...breeze amesema mafans wake wameipenda project yake hiyo mpya kwa asilimia 99...
JAY-Z,50 CENT & NAS KATIKA NGOMA 1..
licha ya kuwa jamaa hawa wanabifu za hapa napale lakini kwa mujibu wa BET.com wazeeiya wanatarajia kufanya ngoma ya pamoja for the first tym na ngoma hiyo ni remix ya track ya Jay z inayofa fanya vizuri kwenye bilboad chart amboyo amefanya alicia keys"Empire State of Mind".bado hajafahamika ngoma hiyo itatoka lini lakini wengi wameonekana kuisubilia kwa hamu,kwakuwa kihistoria Nas na Jigga wanabifu....lakini pia 50 na NAS bado wanahusishwa kuwa nabifu kutokana na 50 cent kushiriki katika ngoma "Piggy Bank," iliokuwa ikimdiss NAS iliojumuisha wasanii wa Aftermath ambayo ilitoka 2005.
Tuesday, December 8, 2009
LIVE PARFORMANCE ZA KANYE KUINGIA SOKONI..
january 5 mwakani mkali huyu ataachia brand new cd/dvd set titled "Kanye West: VH1 Storytellers"!ambpo ndani yake kutakuwa na live parformance ya ngoma alizowahi kuzifanya kutoka kwenye albam yake iliopita ya "808s & Heartbreak," kwenye "VH1 Storytellers"kutapatikana live parformance ya ngoma kama "Good Life," "Stronger," "Heartless," and fan favorite "Flashing Lights".
MTIKISIKO 2009"SAMORA STATIUN PALITIKISIKA..
hii ndo stage iliotumika katika show ya mtikisiko dec 6 hapa kabla show haijaanza.
mwalubadu mmoja wa MAMC wa Mtikisiko dec 6 akifungua show mchana mchana fulani.
coast morden taarabu wakiparform live ngoma zao..
cassim akiwarusha mafanc
Stive usipime jamaa mkalii.
fid q alipiga bonge moja la show kiukweli jamaa anajua kujipanga big up broh..
BIG UP kwa EBONY int,VODACOM na TBL kwa kufanya mtikisiko 2009 ukafanyika kwa mara ya tatu mkoani iringa lengo ikiwa ni EBONY FM kuwakutanisha na kuwapa burudani wasikilizaji wake wa nyanda za juu kusini..
Wednesday, December 2, 2009
SNOOP KUVAA VIATU VYA OPRAH WINFREY 20011!
Mkali huyu wa HIP HOP amesema nataka kuchukua mikoba ya Oprah Winfrey kwa kuchukua talk show ya mwanadada huyo ambayo imempa umaharufu mkubwa ...kauli hiyo ya snoop imekuja baaba ya mwanadada huyo kutangaza kuwa anatarajia kustaafu kufanya show hiyo 2011'''“I’m trying to proposition the networks right now. If you’re wanting to hire a nice black exciting young male who wants to turn the TV world right up- get at me. I heard Oprah Winfrey is leaving and there ain’t no body do what Oprah did but ahem – hello! hello! And I can bring my wife on so we can have the women and the men on there discussing things”.said Snoop
LIL WYNE & NIVEA WAFURAHIA KUMPATA NEAL.
R&B singer Nivea and Grammy Award winner Lil Wayne wamekutana kifamilia kumkaribisha baby boy waliompata jumatatu hiii wakiongozwa na Antonia Carter mama wa mtoto wa kike wa lil wyne pamoja na muigizaji wa Lauren London,bila kusahau wakina mama wa watoto wa rapper wengine wa cash money.....mtoto huyo amepew jina la Neal.......
Tuesday, December 1, 2009
LEONA LEWIS NA DILI YA SOUNDTRACK..
mwanada huyu amepewa dili ya kutengeza soundtrack ya muviiii ya James Cameron...track hiyo I See You inatarajia kuachiwa dec 15..James Cameron sio mara yake ya kwanza kumpa dili msanii mkubwa amtengenezee soundtrack katika muviii yake,alishwai kumpa dili Celine Dion katika muvii ya titanic na ngoma hiyo iliitwa my heart will go on...fans wasubili kwa hamu ngoma hiyo pamoja na muviii yake kwa kuwa wote wakali....
Monday, November 30, 2009
ALICIA KEYS YU TAYARI KUITWA MAMA..
Alicia keys ambaye inaaminika kuwa anamahusiano na hip-hop star Swizz Beats amesema yupo tayari kwa kupata mtoto ivi sasa kwakuwa ameanza kupata hisia za kuwa mama ,"I definitely want a family. To be a mother, that's going to be a beautiful time in life. I don't feel like I reached the top. I have a lot more to climb. I want to continue growing and expressing myself creatively."alisema Alicia,mwenye umri wa miaka 28 ambaye kwasasa anatarajia kureleases new album 'The Element of Freedom' next month ambapo amesema humo ndani amezungumzia zaidi hisia alizo nazo ...
DIDDY SPENDS $3 MILLION ON BIRTHDAY BASH..
hip hop star na boss wa badboyz int amezungumzia gharama alizotumia katika birthday bash ya kutimiza miaka 40 aliyoifanya katika ya mwezi huu nov 19 ambapo amesema alitumia zaidi ya dolla 3 million katika show hiyo.. huku akijinadi kuwa ilikuwa ni part kubwa kuifanya katika kusherehekea kuzaliwa kwake....katika part hiyo aliowaalika watu 500 wakiwemo masuperstar Martha Stewart, Fabolous, Al Green, DJ Cassidy, Jay-Z, Denzel Washington Nelly and Denzel Washington..kiukweli jamaa amezaliwa nov 4 lakini part ya birthday hiyo aliamua kuifanya nov 19 ndani New York’s Plaza hotel..
HIVI NDO ILIVYOKUWA
FULL HAPPY
P-diddy akishow love na mkali jigga siku hiyo birthday bash
HIVI NDO ILIVYOKUWA
FULL HAPPY
P-diddy akishow love na mkali jigga siku hiyo birthday bash
Thursday, November 26, 2009
MATUMLA KUZICHAPA KATIKA MTIKISIKO 2009..
Rashid "snake boy" Matumla kuzichapa dec 6 mjini Iringa na Chupak chipindi katika show kubwa 'MTIKISIKO 2009'pamoja na kuwepo na burudani ya muziki kutoka kwa artist kibao lakini piiiiia Ebony int mwaka huu wakipewa sapport kubwa na VODACOM wameona sio kesi kudrop pambano la ndonga siku hiyo..Aaaaaaaah wametisha..
BRITNEY AACHA VITUKO ILI AOLEWE...
Britney spear amesema kitu ambacho kimemfanya awe mpole na kuacha vituko nikutokana na boyfriend wake wa sasa Jason Trawick kutaka kufunga nae ndoa....amesema anachukulia ndoa kwa uzito mkubwa ndomaana ameamua kutulia ili swala hilo litimie.. britney na Jason Trawick wamefikisha mwaka mmoja sasa katika uhusiano wao,Britney akifunga ndoa na mpenzi wake huyo itakuwa ndoa ya tatu kwake kwasasbabu alishawai kufunga ndoa na Kevin Federline and Jason Alexander.
PUSSYCAT DOLLS"KUTENGANA.....?
licha yakuwa wao mwenyewe hawajaweka wazi juu ya kuvunjika kwa kundi hilo lakini habari kutoka kwa wanabend wa kundi hilo zimesewa wanadada hao wameamua kulivunja kundi hilo kwa amani na wapepanga kuwatangazia mafanc wao hivi karibuni ." A source told Page Six. "kisha twenty 4 seven ikainyaka...piiiia hivi karibu member wa kundi hilo Nicole Scherzinger amekuwa mbali na kundi hilo na alipo ulizwa na HOT 97 (RADIO)Alisema anajipanga kumalizia project yake pekee mapema mwakani...
Wednesday, November 25, 2009
PROJECT MPYA YA BIYONCE 2010...
Baada ya mwaka mmoja kupita tangu aachie albam yake ya tatu kama solo artist 'I Am ... Sasha Fierce,' amesema anajipanga kuachia project nyingine 2010 mara baada ya kumaliza 'I Am...' tour in Nottingham UK,tour ambayo ni maalum kwa ajili ya albam yake iliyopita ...BIYONCE amesema tour ya Nottingham itakuwa ya mwisho na ndipo ataanza kujianda na ili kukinukisha kwa mafanc wake ambao wanaonekana wanakiu ya na flava mpya kutoka kwake..
ACHA SWAGGER ZIENDELEE....
Kwasababu twentyfoursevenmishemishe.blogspot.com kuanza leo inamuonekano mpya nimeona sivibaya kuwasabahi wanaanga...PA1
Tuesday, November 24, 2009
TONYA TYM NAE KUDROP"MTIKISIKO 2009"
Jamaa nae atakuwa nimmoja kati ya wakali watakao piga bonge la show Iringa katika viwanja vya samora..Kiukweli show hi imekuwa gumzo kwa mikoa ya nyanda za juu kusini ....
cheki list ya awali ya wasanii watakao kinukisha DEC 6;
FID Q,MATONYA
MR BLUE,STIVE
MADEE,CHEGE
LINEX,BABY MADAHA
DULLY SYKES na COAST MORDEN TAARAB.
cheki list ya awali ya wasanii watakao kinukisha DEC 6;
FID Q,MATONYA
MR BLUE,STIVE
MADEE,CHEGE
LINEX,BABY MADAHA
DULLY SYKES na COAST MORDEN TAARAB.
Monday, November 23, 2009
FIFFTY AKASIRISHWA NA MAUZO YA "BEFORE I SELF DESTRUCT"
Jamaaa amezungumzia kuhusia na kufanya vibaya kwa albam yake mpya Before I Self Destruct katika kituo kimoja cha redio huko new york huku akioneshwa kukasirika na mauzo ya albam hiyo..taarifa za awali zinasema,Before I Self Destruct imeuza copy150,000 and 160,000 copy katika week iliyopita, ikiwa nikiasi kidigo ukilinganisha na mauzo ya albam iliyopita....huku akikili kufanya vibaya kwa albam hiyo kunatoka na kuleak kwenye internet na kwa mujibu wa hitsdailydouble.com.copy46,000 downloads during the one week window.....huku wengi wakisema kuvuja kwa albam hiyo kunatoka na 50 kuiachia albam hiyo kwenye iTunes kabla haijatoka..
TRIPLE C"s-KRS ONE THIBITSHA HIP HOP HAIJAFA...
katika interview waliofanya na narollingout.com, Rick Ross'na group lake Triple C's, ambao unaweza ukawaita Carol City Cartel wamemtaka KRS-One adhihilishe kama hip hop haijafa kwa kuachia track ambayo itawafanya mafanc waamini hip hop ipo hai na si kuzungumza kwenye vyombo vya habari na kuwanyoonyea watu vidole "we need your track record nigge,every time you point your finger, the other four are pointing right back at you''alimwambia KRS-One TORCH member wa kundi hilo ....Triple C's released their first studio album, mapema mwaka huu Custom Cars & Cycles ambayo Maybach Music Group/Def Jam wameshiriki kuikamilisha albam hiyo yenye track 15 na ndani yake kuna sauti za Gucci Mane, Bun B, Game, Birdman and more. Custom Cars & Cycles sold 12,100 units in the opening week.
KELLY "UNTITLED"IPO TAYARI KWA MAFANS.
Grammy-winning recording artist R. Kelly anajipanga kuachia albam yake ya 10 'UNTITLED" kutoka kwenye studio yake Jive Records on December 1 mwaka huu. na tayari jamaaa anasumbua kwenye bilbord chart na ngoma kutoka kwenye albam hiyo "Number One" ambayo kamshirikisha mkali Keri Hilson,: na ngoma ya pili kuitoa kwenye albam hiyo ni"Religious" ambayo imefika Top 20 on the Urban Adult Contemporary radio chart within two weeks...... PIIIIIIA R kelly anatarajia kufanya tour kuanzia desember 8 atakayoitwa "Ladies Make Some Noise!"
TRACK LISTING FOR UNTITLED IS AS FOLLOWS:
1. Crazy Night featuring R. City (Produced by R. Kelly & Lil Ronnie)
2. Exit (Produced by R. Kelly & Jazze Pha)
3. Echo (Produced by R. Kelly, Infinity & Darhyl "DJ" Camper)
4. Bangin' The Headboard (Produced by R. Kelly, Darhyl "DJ" Camper &
Infinity)
5. Go Low (Produced by R. Kelly)
6. Whole Lotta Kisses (Produced by R. Kelly)
7. Like I Do (Produced by R. Kelly & LOS Da Mystro)
8. Number One featuring Keri Hilson (Produced by R. Kelly, Roy 'Royalty'
Hamilton & Raphael Hamilton)
9. I Love The DJ (Produced by R. Kelly & Soulshock and Karlin)
10. Supaman High featuring OJ Da Juiceman (Produced by R. Kelly &Willy
Will)
11. Be My #2 (Produced by R. Kelly & Jack Splash)
12. Text Me (Produced by R. Kelly & Gaz)
13. Religious (Produced by R. Kelly, Eric Dawkins & Antonio Dixon)
14. Elsewhere (Produced by R. Kelly & Christopher 'Deep' Henderson)
15. Pregnant featuring Tyrese, Robin Thicke and The-Dream (Produced by R.
Kelly, Berris Bolton & DeWayne Swan)
TRACK LISTING FOR UNTITLED IS AS FOLLOWS:
1. Crazy Night featuring R. City (Produced by R. Kelly & Lil Ronnie)
2. Exit (Produced by R. Kelly & Jazze Pha)
3. Echo (Produced by R. Kelly, Infinity & Darhyl "DJ" Camper)
4. Bangin' The Headboard (Produced by R. Kelly, Darhyl "DJ" Camper &
Infinity)
5. Go Low (Produced by R. Kelly)
6. Whole Lotta Kisses (Produced by R. Kelly)
7. Like I Do (Produced by R. Kelly & LOS Da Mystro)
8. Number One featuring Keri Hilson (Produced by R. Kelly, Roy 'Royalty'
Hamilton & Raphael Hamilton)
9. I Love The DJ (Produced by R. Kelly & Soulshock and Karlin)
10. Supaman High featuring OJ Da Juiceman (Produced by R. Kelly &Willy
Will)
11. Be My #2 (Produced by R. Kelly & Jack Splash)
12. Text Me (Produced by R. Kelly & Gaz)
13. Religious (Produced by R. Kelly, Eric Dawkins & Antonio Dixon)
14. Elsewhere (Produced by R. Kelly & Christopher 'Deep' Henderson)
15. Pregnant featuring Tyrese, Robin Thicke and The-Dream (Produced by R.
Kelly, Berris Bolton & DeWayne Swan)
Sunday, November 22, 2009
JORDIN SPARKS U FRESH BAADA YA UPASUAJI.
Mkali huyu waamesema anaendelea fresh baada ya kufanyiwa upasuaji wa appendix jumanne wiki iliyopita, ambapo upasuaji huo umemfanya ashindwe kupiga show hii leo (jumapili)Australia kama alivyo kuwa amepanga awali.lakini amesema ameplane kurudi on stage next week ..na piiiiiia amewashukuru wa mafabs wake kwa saport yote walikuwa wakimpa kwa kipindi chote cha upasuaji...
Thursday, November 19, 2009
MTIKISIKO 2009 "DECEMBER YA URODA"
Hii ndo stage itayo tumika kwenye ile show ambayo hufanyika mara moja tu kwa mwaka mkoani iringa ambayo hujumuisha artist kibao yaitwa MTIKISIKO lakiiiini mwaka huu ya twasema (DECEMBER YA URODA na MITIKISIKO)show itafanyika DEC 6 pale pale uwanja wa samora
fid q
kabaisa
Hawa ni baadhi ya wasanii watakao drop dec 6 kwa ajili yakufanya kweli kwenye DECEMBER YA ORODA...kumbuka EBONY INTERTNMENT ndo kila kitu kwenye show hiyo...
LIL WEEZY NA NIVEA WAPATA BABY BOI...
R&B singer Nivea Amejifungua mtoto wa kiume mwishoni mwa wiki lilopita na mtoto ambaye ni wa Grammy Award-winning rapper Lil Wayne. hii ni kwa mujibu wa S2S magazine..Mtoto huyo amekuwa ni wa nne kwa NIVEA kutokana na kuwa na watoto wa tatu ambao aliwapata akiwa na ex-husband/producer The-Dream.
Congratulations.
Congratulations.
T.I & TINY NDOA 2010..
Baada ya kurepotiwa siku maalum ya kuachiwa huru american hiphop star TI baada ya kukaa jela miezi mi5 sasa girlfriend wa mchizi huyo wa mda mrefu 'Tiny' amesema wameplane kufunga ndoa mwaka 2010...akizungumza na XXL this month, Tiny amesema wameplane kufunga ndoa ya kifahari 2010 baada ya hiphop star TI kuachiwa huru.TI anatumikia kifungo cha mwaka mmoja tangu mwezi march baada ya kupatika na hatia ya matumizi ya silaha kinyume na sheria...
JANET JACKSON"MICHAEL DRUGS NA YEYE KTK UHAI WAKE..
Janet jackson amekili kuwa BRO wake Michael Jackson alikuwa anatumia drugs na alijaribu kumshawishi achane na matumzi hayo ila ilishindikana, na amekili kuwa Michael ilifikia atua yakushindwa kunywa maji kutokan na matatumizi ya madawa Janet kasema hayo," ABC News in an interview on Wednesday.
Janet piiia maezungumzia upcoming diet book, "True You," ambacho kitazungumzia maisha halisi...lakini piiia new documentary film ya michael Jackson amesema itatoka hivi karibuni ambayo Michael aliianda last summer katika concert tour alizokuwa akizifanya..
Janet piiia maezungumzia upcoming diet book, "True You," ambacho kitazungumzia maisha halisi...lakini piiia new documentary film ya michael Jackson amesema itatoka hivi karibuni ambayo Michael aliianda last summer katika concert tour alizokuwa akizifanya..
Tuesday, November 17, 2009
BADALA YA DEC 8 SASA DEC 15 ALBAM MPYA ALICIA KEYS..
Mkali huyu ameamua kuipeleka mbele albam yake ya sita "The Element of Freedom"ambayo mwanzo alikuwa ametangaza kuitoa December 8 lakini sasa ametangaza kuitoa December 15.ilikuwapa nafasi maproduce kufanya track zote za albam hiyo kuwa kali napia amesema kuna ngoma anafanye na mkali kutoka cash money Drake hivyo ameamua kupata muda ili kumalizia vizuri zaid yeye na maproduza wa ngoma hiyo ....
SHOW YA KUMKUMBUKA MEMBER WA TERROR SQUAD NOV 23.
New York rappers Maino, Hell Rell, Saigon, Uncle Murda kwa pamoja wameandaa show yakuenzi rapper na member wa Terror Squad Mike Beck aliye uwawa kwa kupigwa risasi october mwaka huu huko New York..show hiyo itafanyika Monday November 23, 2009 at the fabulous Imperial night club in NYC na MAINO Amesema pesa zitakazo patikana kutokana na show hiyo zitatumika kutoa misaada vyuoni nazingine atapewa mtoto wa kiume wa Mike Beck ambaye anamiaka 10 kwa sasa.....maino amesema wanategemea kupata wasanii wengi zaid watakao parfom katika show hiyo na watatumia show hiyo kupinga mashambulizi ya risasi.....nao member wa Terror Squad Fat Joe and Noreaga ambao msiba huu unawahusu sana wametoa baraka zote kufanyika kwa show hiyo na kwapamoja wamesema Mike Beck atabaki katika memory zao.....
HARAKATI ZA "RACHEL K" ZATISHA....
Rachel Kiwanuka bint huyu ni raia wa Uganda ambaye makazi yake tangu miaka 10 ilio pita ni California marekani amekwisha fanya track na R&B singer Keri Hilson na Grammy award winning Senegalese star Akon ngoma amayo inaitwa . ''Oh Africa ''na amesema track hiyo itatoka hivi karibuni na anaamini itamtabulisha kwa kiasi kikubwa ulimwenguni....ametisha..
Subscribe to:
Posts (Atom)