Monday, November 30, 2009

DIDDY SPENDS $3 MILLION ON BIRTHDAY BASH..


hip hop star na boss wa badboyz int amezungumzia gharama alizotumia katika birthday bash ya kutimiza miaka 40 aliyoifanya katika ya mwezi huu nov 19 ambapo amesema alitumia zaidi ya dolla 3 million katika show hiyo.. huku akijinadi kuwa ilikuwa ni part kubwa kuifanya katika kusherehekea kuzaliwa kwake....katika part hiyo aliowaalika watu 500 wakiwemo masuperstar Martha Stewart, Fabolous, Al Green, DJ Cassidy, Jay-Z, Denzel Washington Nelly and Denzel Washington..kiukweli jamaa amezaliwa nov 4 lakini part ya birthday hiyo aliamua kuifanya nov 19 ndani New York’s Plaza hotel..

HIVI NDO ILIVYOKUWA

FULL HAPPY

P-diddy akishow love na mkali jigga siku hiyo birthday bash


No comments: