Banana zoro akionesha mauno yake dah nilikuwa sijui kumbe jamaa nae anatisha kwenye mambo ya kukikata........

cheki hilo nyomi la wakazi wa iringa ambao walihudhuria tamasha la wahapahapa lilofanyika jana mjini iringa kwenye uwanja wa samora palikuwa hapatoshi ....wahapaha walitisha samora ..
2 comments:
aisee ilikuwa mkwaju ni yaaaaje,,,kazi nzuri
Hiyo ni lini ilikuwa?? naona watoto tu wamejaa))
Post a Comment