Wednesday, November 4, 2009

KALAMASHAKA BACK IN BUILDING....



Produce mkali kutoka mandugu digtal Amros Dunga baada ya kufanya vizuri bongo katika production ya muziki wa kizazi kipya na kurudi kwao kenya sasa kazi imeanza ameamua kuwa rudisha kwenye game kalamashaka ...
kwaupande wao kalamshaka wa mesema wanarudi kwaajili ya kuwanyamazisha wanahip hop wa kizazi hiki kipya kwakuwa wao wapo muda mrefu kwenye game...
lakini piiiiiiiiiiiiiiiiiia wamesema wanafikiria kufanya kazi na Nak 2 Nak kutoka tanzania...

No comments: