Thursday, November 26, 2009

BRITNEY AACHA VITUKO ILI AOLEWE...


Britney spear amesema kitu ambacho kimemfanya awe mpole na kuacha vituko nikutokana na boyfriend wake wa sasa Jason Trawick kutaka kufunga nae ndoa....amesema anachukulia ndoa kwa uzito mkubwa ndomaana ameamua kutulia ili swala hilo litimie.. britney na Jason Trawick wamefikisha mwaka mmoja sasa katika uhusiano wao,Britney akifunga ndoa na mpenzi wake huyo itakuwa ndoa ya tatu kwake kwasasbabu alishawai kufunga ndoa na Kevin Federline and Jason Alexander.

No comments: