Thursday, November 12, 2009

LL COOL J KUHOST GRAMMY NOMINATION CONCERT LIVE.....


Legendary Hip Hop artist LL Cool J amechaguliwa kuwa Host wa Grammy Nominations Concert Live!kwa mwaka wa pili naitakuwa ikirushwa live na CBS kwa saa moja nakutakuwa na parformace zakutosha kutoka kwa Black Eyed Peas, Sugarland and Maxwell.

Grammy Awards kwa msimu huu zitafikia tamati  Jan. 31-2010 at the STAPLES Center na itakuwa live on CBS.. LLCOOL J alisha chukua  Grammy awards mara mbili  katika categor moja ya "Best Rap Solo Performance"1991 na  1996,-kupitia ngoma ya"Mama Said Knock You Out" kutoka kwenye albam iliitwa jina la singo hiyo yani "Mama Said Knock You Out" , nabaada akapata Grammy awards  kupitia track ya "Hey Lover" kutika kwenye albam yake ya Mr. Smith.