Sunday, November 8, 2009

DMX ULINGONI DECEMBER


Rapper DMX  anatarajia kupanda Ulingoni Alabama Pride on December 12 kuzichapa na mwanamuziki lakini pia nimpiganaji Eric Martinez,Rapper DMX atapigana baada ya kampuni Thunder Promotions kumtaka apigane pambano hilo la kusindikiza pampano kubwa siku hiyo kati ya Butterbean na Tank Abbott. lakini hivi karibuni DMX katika kituo kimoja cha radio Washington’s 106.7FMThe Fan aliwambia mafance wake ameamua kucheza mchezo huo kwa kuwa anaupenda na sikimaslai zaidi  kama wengine wanavyo zani.......

1 comment:

Mzee wa Changamoto said...

Amani, Heshima na Upendo hapa
Nimefurahi saana kukufikia na NASHUKURU kuwa nipo kwenye Blog list yako.
Natumai tutaendelea kuwajuvya JAMII hili na lile tukiwaelimisha, kuwaburudisha, kuwahabarisha na pia KUWAPA UKOMBOZI HALISI WA KIAKILI.
Tupo PamoJAH
Blessings