Tuesday, November 10, 2009

RIHANNA,MICHELLE OBAMA"WOMEN OF YEAR"


Rihana ameungana na first lady wa amerika Michelle Obama, British fashion designer Stella McCartney na wengine tisa kutunukiwa heshima ya 'Women of Year" Women of the Year Awards, inaandaliwa na  Glamour Magazine tangu miaka 20 iliyopita na inadhaminiwa na  L'Oreal,na inawahususha mwanamke ambaye yupo kwenye entertainment, business, sport, fashion, science and politics.Rihana ameingia katika award hizo baada ya kuzungumza hadharani kuhusina na kupingwa na ex-boyfriand wake chris brown....mcheza tenes maarufu

Serena Williams ameingia katika orodha hiyo baada ya kutumia Foundation yake ya  (Serena Williams Foundation) kuwapa msaada US college students na baadhi ya secondary school za Kenya.washindi wa "Women of Year"wafahamika des kupitia gazeti la Glamour magazine na maamuzi ya nani mshindi yatakakuwa chini ya bord inyoundwa na walio wai kuwa washindi wa awards kuanzia kwa Jennifer Lopez to Nora Ephron to Katie Couric.

1 comment:

Anonymous said...

bomba sana