Monday, November 16, 2009

LIL KIM KWA PILATO BAADA YA KUSHINDWA KUPARFORM.....


According to TMZ.com, rapper Lil Kim ameshitakiwa baada yakupokea dola $20,000 kutoka kwa mapromoter na kushindwa kufanya show 6 katika jiji la London kuanzia November 7 had nov14,lil kim ambaye alikuwa amekwisha fika LONDON amejitetea kuwa alishindwa kufanya show hizo kutokana na kusumbuliwa na nosebleed na akadai kuwa aliwataarifu promoters wa show hiyo kwamba anarudi marekani baada ya kupatwa na matatizo hayo.......lakiiiiiiini upande mwingine watu wanasema Lil kim aliamua kurudi marekani kutokana na kutokupewa utaratibu mzuri wa show hizo nakwamba chapaaa $20,000  zilikuwa ndogo naalizitumia kwa usafiri tu....

No comments: