Friday, November 13, 2009

SWINE FLU YAMNASA MEMBER WA TLC..


T-BOZ anayewakilisha kundi la TLC amedhibitika kuwa anauwa H1N1 virus wengi twaufahamu ugonjwa huu kama swine flu (mafua ya nguruwe)T-BOZ amesema kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa huo amelazimika kuchill alone na kumpeleka motto wake wa kike akaakae na bibi yake ambye ni mama mzazi wa T-BOZ…BINTI huyu amedai anachokifanya sasa nikufata ushauri wa doctor na kumeza dawa ….T-BOZ C’superstar wa kwanza kunaswa na mafua ya nguruwe last week ilireportiwa kuwa member wa kundi la BOYZ II MEN Shawn stockman alishindwa kuhudhuria Soul Train Music awards kutokana na swine flu,lakini piiiiia Brian Littrell wa Backstreet Boy alipata swine flu mwez october......

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Duh! pole sana hata sisi hapa ndo kazi kawelikweli.