Thursday, November 5, 2009

EMINAM,J-LO,ALICIA KEYS & JAY Z KWENYE STAGE 1 NOV HII......


Mkali huyu amejumuishwa katika kundi la wasanii watakao  perform kwenye American Music Awards zitakazofanyika Los Angeles (November 22)  8:00 PM na show hiyo itarushwa ABC.eminam ameungana pamoja na  Kelly Clarkson, Jennifer Lopez, The Black Eyed Peas, Jay-Z, Alicia Keys and Lady Gaga ili kuparform katika show hiyo..na piiiiiia newz zinasema wasanii wengne watajumuishwa next week...

No comments: