Monday, November 23, 2009

FIFFTY AKASIRISHWA NA MAUZO YA "BEFORE I SELF DESTRUCT"


Jamaaa amezungumzia kuhusia na kufanya vibaya kwa albam yake mpya Before I Self Destruct katika kituo kimoja cha redio huko new york huku akioneshwa kukasirika na mauzo ya albam  hiyo..taarifa za awali zinasema,Before I Self Destruct  imeuza copy150,000 and 160,000 copy katika week iliyopita, ikiwa nikiasi kidigo ukilinganisha na mauzo ya albam iliyopita....huku akikili kufanya vibaya kwa albam hiyo kunatoka na kuleak kwenye internet na kwa mujibu wa hitsdailydouble.com.copy46,000 downloads during the one week window.....huku wengi wakisema kuvuja kwa albam hiyo kunatoka na 50 kuiachia albam hiyo kwenye   iTunes kabla haijatoka..

No comments: