Wednesday, November 11, 2009

J'D NA JANET JACKSON BADO PAMOJA.....


Fununu zilizo zagaa mwezi mmoja ulio pita kuwaJermaine Dupri na mpenziwe Janet jackson hawapo pamoja tena  imefahamika kuwa  fununu hizo hazina ukweli..fununu hizo zilikuja kufuatia wawili hao kupunguza ukaribu..lakini dupri amesema aliamua kumpa nafasi mpenzi wake huyo baada ya kufiwa na kaka yake michael jackison...janet jakison naJermaine Dupri  tangu kifo cha michael wamekuwa hawoneka mara kwa mara machoni mwa jamii, kwa mara ya kwanza janet atonekana  kwenye exclusive interview katika  kituo cha TV cha  ABCkatika show ya  Robin Roberts Wednesday, November 18..

No comments: