Thursday, November 12, 2009

CELINE DION "MISCARRIAGE"



Baada ya miezi mitatu kupita tangu Celine Dion atangaze kuwa nimjamzito fununu zimezagaa hivi sasa kwamba superstar huyu hana tena ujauzito..Celine Dion na mumewe Rene Angelil mwenye umri wa miaka 67 wanamtoto mmoja wa kiume Rene-Charles miaka 8..licha ya kuwa wawili hao walifurahi kuwa watapata mtoto wa pili baada ya celine dion kubainika ni mjauzito August mwaka huu  lakini hawakupanga kupata mtoto wa pili hivi sasa na hawakuwa tayari.....

No comments: