Thursday, November 19, 2009

LIL WEEZY NA NIVEA WAPATA BABY BOI...


R&B singer Nivea Amejifungua mtoto wa kiume mwishoni mwa wiki lilopita na mtoto ambaye ni wa Grammy Award-winning rapper Lil Wayne. hii ni kwa mujibu wa S2S magazine..Mtoto huyo amekuwa ni wa nne kwa NIVEA kutokana na kuwa na watoto wa tatu ambao aliwapata akiwa na ex-husband/producer The-Dream.
Congratulations.

No comments: