Tuesday, November 17, 2009

BADALA YA DEC 8 SASA DEC 15 ALBAM MPYA ALICIA KEYS..


Mkali huyu ameamua kuipeleka mbele albam yake ya sita "The Element of Freedom"ambayo mwanzo alikuwa ametangaza kuitoa December 8 lakini sasa ametangaza kuitoa December 15.ilikuwapa nafasi maproduce kufanya track zote za albam hiyo kuwa kali napia amesema kuna ngoma  anafanye na mkali kutoka cash money Drake hivyo ameamua kupata muda ili kumalizia vizuri zaid yeye na maproduza wa ngoma hiyo ....

1 comment:

chib said...

Kwa masuala ya wanamuziki na celebs, naona hapa ndio nyumbani