Tuesday, November 10, 2009

EVANDER HOLYFIELD KUZIPIGA LIVE KAMPALA..


Mkali huyu wa masumbwi Evander Holyfield  anatarajia kudrop kampala Uganda kwa ajili ya mpambano wake mkali on December 19, 2009 dhidi ya mpinzani wake kutoka afrika ya kusini Francois “White Buffalo" Botha hilo litakuwa nipambano kubwa la ndonga kufanyika Kampala na itakuwa ni mara ya kwanza kwa Evander Holyfield kufanya pambano UGANDA...

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nakutakia kila la kheri!

John Mwaipopo said...

pengine litakuwa la kwanza afrika. sikumbuki kama amewahi kuzitwanga sehemu yoyote afrika. hebu niwekeni sawa

viva afrika said...

kudadadeki siwezi sahau alivyoliwa sikio na mike tyson sababu ya mchezo wake mbaya!

Mzee wa Changamoto said...

He's moving from HERO TO ZERO.
Anastahili kustaafu kabla hajafia ulingoni. Lakini maisha yamem'bana saana. Madeni mengi na anastahili kupigana kuendelea kulipia mitara zake na madeni mengine.
Sidhani kama ana mapenzi yoyote na mchezo huo anymore.
Ila akishinda mkanda, ataweka rekodi na kuwa bingwa mzee zaidi ulimwenguni
Blessings

John Mwaipopo said...

du! kumbe anataka kulipa madeni. mihela yoote ile aliyoikamata baada ya kumtwanga mike, baada ya sikio lake kutengenezwa biskuti, baada ya kutoa droo na kisha kukung'utwa na lewis imeenda wapi? atafia ulingoni huyu ebo