Tuesday, November 3, 2009

RIHANNA NA RATED R KUINGIA SOKONI.....

Pop superstar na Hip Hop hook-queen of 2009 Rihanna amerelease  tracklist 13  ambazo zitakuwepo kwenye album yake atakayo iachia  November 23 mwaka huu anayoiita Rated R .Na baada yakuachia track yaTe Amo amerelease single nyingine ambayo itaanza kusikika kwenye vituo vya radio kuanzia kesho inaitwa  Russian Roulette....hii ndo track list ya albam hiyo...1...mad house 2..wait yuor turn..3.. hard ft young jeezy...4..stupid love..5..rockstar 101 ft slash...6...russian roulette...7..fire bomb....8..rude boy..9..photograph ft will a im....10...g4L....11...Te Amo....12...cold case love..13..the last song.

1 comment:

AGNESS ANDERSON said...

ahsante kaka kwakunijulisha hilo,,,, pa1