Monday, November 9, 2009

KARIBU NYUMBANI........


Mtanzania elizabert gupta jana ametolewa katika kinyanganilo cha bigbrother baada yakukaa katika jumba hilo kwa wiki kadhaa....sehemu uliofikia dada yetu sio ya kubeeza hongera sana......karibu nyumbani/////

2 comments:

AGNESS ANDERSON said...

karibu mama uje uliendeleze libeneke la uigizaji wa filam....

Anonymous said...

Jamani binti kajitahidi sana mpk kutoka kwake BBA mchezo umepoteza mvuto.Hata hamu ya kuungalia sina tenaaaaaa bigup eliza