Friday, November 6, 2009

CHRIS BROWN AVUNJA UKIMYA......

Mchizi amekili kujisikia vibaya jinsi jamii inavyo mchukulia huku akisema wengi walipenda afungwe baada ya kumchapa ex-girlfriend wake Rihana wezi february after part fulani huko los angeles...... "(My fans) love me and support me. (But the public) don't want to see me do anything... they wanna see me kind of, basically in jail." chris brown kayasema hayo wakati akifanya interview na MTV This week.....kutokana na kosa hilo chris breeze kufanya kazi za kijamii kama unavyo mcheki pembeni na piaaaaaa amepewa miaka mi5 ya probation na katika miaka hiyo mitano hatakiwi kumkaribia kabisaaaa kimwana Rihana..

No comments: