Thursday, November 12, 2009

MIKE TYSON ARRESTED...


kashikashi zimezidi kumkumba Mike Iron Tyson"Baddest Man On The Planet"baada ya jana asubui(JUMA TANO)kukamatwa na police kwa kumpiga mpiga picha aliekuwa akiwapika picha LAX Airport in los angeles yeye mkewe pamoja na mwanae wamiaka10..tyson alimpa kipigo cha ukweli jamaa huyo hadi kupelekea kulazwa katika moja ya hospital los angels....Tyson bado anakumbukumbu za kufiwa na mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 4 Exodus mwezi mey mwaka huu...

No comments: