Tuesday, November 17, 2009

SHOW KUBWA KUSINI MWEZI HUU...


Hii ilikuwa nimwaka jana katika viwanja vya samora katika  MTIKISIKO .show inayoletwa na EBONY ENTERNMENT NA happen mara moja tu kwa mwaka na kuwakutanisha wasaani  zaid ya 15 waaina tofauti ambao kazi yao ni moja tuu kuwatikisa wakazi wa nyanda za juu kusini.katika show inayoitwa mtikisiko.... wakazi wairinga,mbeya na mikoa ya karibu kaeni tayari the end of this mwezi SAMORA patahappen kwelikweli....   

TWANGA PEPETA(mtikisiko mwaka jana)Mwaka huu imeboreshwa zaidi na twenty 4 seven itakupa tarehe na list ya wakali watakao parfom......jichange tukutane samora.....

No comments: