Monday, November 9, 2009

WIZI WATAWALA ALBAM MPYA YA 50....


Jamaa ameelezea juu ya habari zilizozagaa kitaa kuhusiana na kuvuja kwa albam yake mpya Before I Self Destruct kwenye internet kabla hajairelease,huku wengi wakisema albam yake hiyo haito uza kama albam yake iliyopita...50 amesema anakili hilo kutokea lakini amesema hakuna anayeweza kujaji mauzo ya albam hiyo na amewataka mafance wake wasubili waone...wakati huo huo 50 hii leo usiku anarelease tracklist ya albam hiyo yenye record 16 na bonus tatu,DJ Premier, Dr. Dre,Timbaland  Eminem, Lloyd Banks, Ne-Yo and R. Kelly wote hao wameshiriki katika albam hiyo ambayo anaiachia nov 23.na imefanyiwa finalize naInterscope..

No comments: