Tuesday, November 10, 2009

MWISHO WA NDOA USHER NA TAMEKA


Ndoa iliyodumu kwa miaka miwili kati ya R&B star Usher raymound na Tameka ambaye anapika dili ya kuwa make-up artist imefikia tamati baada ya file la kumtaalaka mkewe huyo lililofunguliwa na Usher miezi mitano iliyopita kutekelezwa...wawili hao ambao wanawatoto wawil  wakume hawakuwa pamoja kama family kwa muda wa mwaka mmoja...Usher alifungua file la kumoa talaka Tamika june 12 mwaka huu na niwazi Usher ameonekana kuto kumta tena mkewe huyo...

1 comment:

AGNESS ANDERSON said...

jamani! mbona hizi ndoa za hawa ma super star huwa hazidumu? mi nshajichokea...