Monday, November 2, 2009

WAHAPAHAPA kuwamdrop BANANA,ENIKA IR TOWN..

Wakazi wa iringa namikoa ya karibu tarehe na 8 nov 2009 watapata burudani yakutosha kutoka kwa wakali wawili wa muziki wa kizazi kipya Enika na Banana zoro ,,,lakini piiiiiaaaa atakuepo msanii wa siku nyingi kipenzi cha vijana wa zamani mzee bitchuka ..ni ndani ya uwanja wa samora kuanzia saa nane mchana......patakuwa hapatoshi ?////////.................chakufurahisha zaidi itakuwa ni jumapili wengi wetu tutakuwa majumbani na piiiaaaaaaaa kiingilio nimiguuu yako yani bureeeeeeeeeeeeeeee;;wahapahapa wametisha''''''''

2 comments:

Anonymous said...

habari,hongera kwa habari/taarifa zako nzuri na motomoto katika blog yako,naona kuna matatizo katika matumizi ya AM na PM.Naamini kabisa habari na picha unazi-post katika wakati wa PM lakini badala yake inaonekana ni AM.Hivyo ni vizuri ukaangali upya saa yako.

Yasinta Ngonyani said...

Natamani ningekuwa Iringa siku hiyo najua kutakuwa na ulanzi tu...lol.