Monday, November 9, 2009

OLIVIA NA SABABU ZA KUJITOA G-UNIT


Binti ameatolea ufafanuzi juu ya kujitoka kwake katika label ya G-unit huku akisema sababu kubwa ni kutokana na label ya G-UNIT kuto kuwa na wa wanaofanya musik wa aina yake yani R&B.huku akisema bado anamawasiliano mazuri na lloyd banks na tony yeyo.lakin piaaa ameonekana kumdisi 50-cent kwa kusema"50 really had to do everything himself. He doesn't know about R&B...I still talk to Banks and Yayo all the time lakini sio 50 alisema olivia wakati akiojiwa nakituo kimoja cha redio huko new york..bint huyo mrembo alipo ulizwa kuhusiana na kimya chake kwenye game amesema sasa ivi anafanya movie natayari movie tatu zipo tayari Peephole na nyingine inaitwa Conspiracy X..... na amesema ivi sasa anajipanga kama solo artist na kawataka mafance wake wasubiri R&b ZA  UKWELI...;...

No comments: