Monday, November 23, 2009

TRIPLE C"s-KRS ONE THIBITSHA HIP HOP HAIJAFA...


katika interview waliofanya  na narollingout.com, Rick Ross'na  group lake Triple C's, ambao unaweza ukawaita  Carol City Cartel wamemtaka  KRS-One adhihilishe kama hip hop haijafa kwa kuachia track ambayo itawafanya mafanc waamini hip hop ipo hai na si kuzungumza kwenye vyombo vya habari na kuwanyoonyea watu vidole "we need your track record nigge,every time you point your finger, the other four are pointing right back at you''alimwambia KRS-One  TORCH member wa kundi hilo ....Triple C's released their first studio album, mapema mwaka huu Custom Cars & Cycles ambayo Maybach Music Group/Def Jam wameshiriki kuikamilisha albam hiyo yenye track 15 na ndani yake kuna sauti za Gucci Mane, Bun B, Game, Birdman and more. Custom Cars & Cycles sold 12,100 units in the opening week.

No comments: