Monday, November 16, 2009

BAADA YA MIAKA 10 W. HOUSTON KUPARFORM (AMAs)


Whitney Houston amejumuishwa katika parformance ya American Music Awards (AMAs) hapo baadae mwezi huu baada kutoparform kwenye awards hizo kwa muda wa miaka kumi Houston anatarajia kuparform ngoma yake mpya 'I Didn't Know My Own Strength'....katika historia Whitney Houston ni msanii wa kike anayeongoza kwa kuchukua awards za American Music Awards (AMAs)
Stars wengine watakao parform kwenye AMAs at Los Angeles' Nokia Theatre ni Rihanna, Shakira, Jay-Z, Alicia Keys, Jennifer Lopez na The Black Eyed Peas.

No comments: