Tuesday, November 10, 2009

DEC 15 WEEEZY NA ALBAM MPYA YA ROCK..


Baada ya kuchelewa kutoka kwa albam  ya "Rebirth,"ambayo itakuwa ni ya rock sasa Universal Music Group wataja tarehe ya kutoka kwa albam hiyo ya lil wyne Dec. 15 awali albam hiyo iliikuwa itoke April 7mwaka huu , single ya kwanza kutoka kwenye albam hiyo  "Prom Queen," produced by Infamous and Andrew "Drew" Correa, ambayo ilikamata  no. 15 on the Billboard Hot 100. Second single "Hot Revolver" ilikamata No. 33 on the same tally. artist watakao shiriki katika albam hiyo baadhi wanafanya rock ni pamoja na Lenny Kravitz, Travis Barker and Young Money/Cash Moneyartist  Drake ,likini piiiiia kwenye "Rebirth," albam kuna mikono ya Cool and Dre na track iliyovuja kabla haijatoka Fix My Hat," produced by Drew Money nimoja kati ya tracki zitakazo kuwemo kwenye albam hiyo...

No comments: