Tuesday, November 17, 2009

SHOW YA KUMKUMBUKA MEMBER WA TERROR SQUAD NOV 23.


New York rappers Maino, Hell Rell, Saigon, Uncle Murda kwa pamoja wameandaa show yakuenzi rapper na member wa Terror Squad Mike Beck aliye uwawa kwa kupigwa risasi october mwaka huu huko New York..show hiyo itafanyika Monday November 23, 2009 at the fabulous Imperial night club in NYC na MAINO Amesema pesa zitakazo patikana kutokana na show hiyo zitatumika kutoa misaada vyuoni nazingine atapewa mtoto wa kiume wa Mike Beck  ambaye anamiaka 10 kwa sasa.....maino amesema wanategemea kupata wasanii wengi zaid watakao parfom katika show hiyo na watatumia show hiyo kupinga mashambulizi ya risasi.....nao member wa Terror Squad Fat Joe and Noreaga ambao msiba huu unawahusu sana wametoa baraka zote kufanyika kwa show hiyo na kwapamoja wamesema Mike Beck atabaki katika memory zao.....

No comments: