Sunday, November 15, 2009

ALBAM MPYA USHER NEXT YEAR....


Baada ya ngoma yake mpya "Papers"kufanya vizuri mpaka kufikia no.2 on the Billboard Hot R&B/Hip Hop Songs chart sasa USHER REYMOND amesema Anajipanga kurelease albam yake mpya "Raymond Vs. Raymond".mapema mwaka 2010..nawakali watakao shiriki humo ndani ni katika production/songwriting from Rico Love, Sean Garrett, Bryan Michael Cox and Pharrell.

1 comment:

viva afrika said...

usher iz one of my best performers ever walked in this planet. cant wait 4 that stuff.