Monday, November 30, 2009
ALICIA KEYS YU TAYARI KUITWA MAMA..
Alicia keys ambaye inaaminika kuwa anamahusiano na hip-hop star Swizz Beats amesema yupo tayari kwa kupata mtoto ivi sasa kwakuwa ameanza kupata hisia za kuwa mama ,"I definitely want a family. To be a mother, that's going to be a beautiful time in life. I don't feel like I reached the top. I have a lot more to climb. I want to continue growing and expressing myself creatively."alisema Alicia,mwenye umri wa miaka 28 ambaye kwasasa anatarajia kureleases new album 'The Element of Freedom' next month ambapo amesema humo ndani amezungumzia zaidi hisia alizo nazo ...
DIDDY SPENDS $3 MILLION ON BIRTHDAY BASH..
hip hop star na boss wa badboyz int amezungumzia gharama alizotumia katika birthday bash ya kutimiza miaka 40 aliyoifanya katika ya mwezi huu nov 19 ambapo amesema alitumia zaidi ya dolla 3 million katika show hiyo.. huku akijinadi kuwa ilikuwa ni part kubwa kuifanya katika kusherehekea kuzaliwa kwake....katika part hiyo aliowaalika watu 500 wakiwemo masuperstar Martha Stewart, Fabolous, Al Green, DJ Cassidy, Jay-Z, Denzel Washington Nelly and Denzel Washington..kiukweli jamaa amezaliwa nov 4 lakini part ya birthday hiyo aliamua kuifanya nov 19 ndani New York’s Plaza hotel..
HIVI NDO ILIVYOKUWA
FULL HAPPY
P-diddy akishow love na mkali jigga siku hiyo birthday bash
HIVI NDO ILIVYOKUWA
FULL HAPPY
P-diddy akishow love na mkali jigga siku hiyo birthday bash
Thursday, November 26, 2009
MATUMLA KUZICHAPA KATIKA MTIKISIKO 2009..
Rashid "snake boy" Matumla kuzichapa dec 6 mjini Iringa na Chupak chipindi katika show kubwa 'MTIKISIKO 2009'pamoja na kuwepo na burudani ya muziki kutoka kwa artist kibao lakini piiiiia Ebony int mwaka huu wakipewa sapport kubwa na VODACOM wameona sio kesi kudrop pambano la ndonga siku hiyo..Aaaaaaaah wametisha..
BRITNEY AACHA VITUKO ILI AOLEWE...
Britney spear amesema kitu ambacho kimemfanya awe mpole na kuacha vituko nikutokana na boyfriend wake wa sasa Jason Trawick kutaka kufunga nae ndoa....amesema anachukulia ndoa kwa uzito mkubwa ndomaana ameamua kutulia ili swala hilo litimie.. britney na Jason Trawick wamefikisha mwaka mmoja sasa katika uhusiano wao,Britney akifunga ndoa na mpenzi wake huyo itakuwa ndoa ya tatu kwake kwasasbabu alishawai kufunga ndoa na Kevin Federline and Jason Alexander.
PUSSYCAT DOLLS"KUTENGANA.....?
licha yakuwa wao mwenyewe hawajaweka wazi juu ya kuvunjika kwa kundi hilo lakini habari kutoka kwa wanabend wa kundi hilo zimesewa wanadada hao wameamua kulivunja kundi hilo kwa amani na wapepanga kuwatangazia mafanc wao hivi karibuni ." A source told Page Six. "kisha twenty 4 seven ikainyaka...piiiia hivi karibu member wa kundi hilo Nicole Scherzinger amekuwa mbali na kundi hilo na alipo ulizwa na HOT 97 (RADIO)Alisema anajipanga kumalizia project yake pekee mapema mwakani...
Wednesday, November 25, 2009
PROJECT MPYA YA BIYONCE 2010...
Baada ya mwaka mmoja kupita tangu aachie albam yake ya tatu kama solo artist 'I Am ... Sasha Fierce,' amesema anajipanga kuachia project nyingine 2010 mara baada ya kumaliza 'I Am...' tour in Nottingham UK,tour ambayo ni maalum kwa ajili ya albam yake iliyopita ...BIYONCE amesema tour ya Nottingham itakuwa ya mwisho na ndipo ataanza kujianda na ili kukinukisha kwa mafanc wake ambao wanaonekana wanakiu ya na flava mpya kutoka kwake..
ACHA SWAGGER ZIENDELEE....
Kwasababu twentyfoursevenmishemishe.blogspot.com kuanza leo inamuonekano mpya nimeona sivibaya kuwasabahi wanaanga...PA1
Tuesday, November 24, 2009
TONYA TYM NAE KUDROP"MTIKISIKO 2009"
Jamaa nae atakuwa nimmoja kati ya wakali watakao piga bonge la show Iringa katika viwanja vya samora..Kiukweli show hi imekuwa gumzo kwa mikoa ya nyanda za juu kusini ....
cheki list ya awali ya wasanii watakao kinukisha DEC 6;
FID Q,MATONYA
MR BLUE,STIVE
MADEE,CHEGE
LINEX,BABY MADAHA
DULLY SYKES na COAST MORDEN TAARAB.
cheki list ya awali ya wasanii watakao kinukisha DEC 6;
FID Q,MATONYA
MR BLUE,STIVE
MADEE,CHEGE
LINEX,BABY MADAHA
DULLY SYKES na COAST MORDEN TAARAB.
Monday, November 23, 2009
FIFFTY AKASIRISHWA NA MAUZO YA "BEFORE I SELF DESTRUCT"
Jamaaa amezungumzia kuhusia na kufanya vibaya kwa albam yake mpya Before I Self Destruct katika kituo kimoja cha redio huko new york huku akioneshwa kukasirika na mauzo ya albam hiyo..taarifa za awali zinasema,Before I Self Destruct imeuza copy150,000 and 160,000 copy katika week iliyopita, ikiwa nikiasi kidigo ukilinganisha na mauzo ya albam iliyopita....huku akikili kufanya vibaya kwa albam hiyo kunatoka na kuleak kwenye internet na kwa mujibu wa hitsdailydouble.com.copy46,000 downloads during the one week window.....huku wengi wakisema kuvuja kwa albam hiyo kunatoka na 50 kuiachia albam hiyo kwenye iTunes kabla haijatoka..
TRIPLE C"s-KRS ONE THIBITSHA HIP HOP HAIJAFA...
katika interview waliofanya na narollingout.com, Rick Ross'na group lake Triple C's, ambao unaweza ukawaita Carol City Cartel wamemtaka KRS-One adhihilishe kama hip hop haijafa kwa kuachia track ambayo itawafanya mafanc waamini hip hop ipo hai na si kuzungumza kwenye vyombo vya habari na kuwanyoonyea watu vidole "we need your track record nigge,every time you point your finger, the other four are pointing right back at you''alimwambia KRS-One TORCH member wa kundi hilo ....Triple C's released their first studio album, mapema mwaka huu Custom Cars & Cycles ambayo Maybach Music Group/Def Jam wameshiriki kuikamilisha albam hiyo yenye track 15 na ndani yake kuna sauti za Gucci Mane, Bun B, Game, Birdman and more. Custom Cars & Cycles sold 12,100 units in the opening week.
KELLY "UNTITLED"IPO TAYARI KWA MAFANS.
Grammy-winning recording artist R. Kelly anajipanga kuachia albam yake ya 10 'UNTITLED" kutoka kwenye studio yake Jive Records on December 1 mwaka huu. na tayari jamaaa anasumbua kwenye bilbord chart na ngoma kutoka kwenye albam hiyo "Number One" ambayo kamshirikisha mkali Keri Hilson,: na ngoma ya pili kuitoa kwenye albam hiyo ni"Religious" ambayo imefika Top 20 on the Urban Adult Contemporary radio chart within two weeks...... PIIIIIIA R kelly anatarajia kufanya tour kuanzia desember 8 atakayoitwa "Ladies Make Some Noise!"
TRACK LISTING FOR UNTITLED IS AS FOLLOWS:
1. Crazy Night featuring R. City (Produced by R. Kelly & Lil Ronnie)
2. Exit (Produced by R. Kelly & Jazze Pha)
3. Echo (Produced by R. Kelly, Infinity & Darhyl "DJ" Camper)
4. Bangin' The Headboard (Produced by R. Kelly, Darhyl "DJ" Camper &
Infinity)
5. Go Low (Produced by R. Kelly)
6. Whole Lotta Kisses (Produced by R. Kelly)
7. Like I Do (Produced by R. Kelly & LOS Da Mystro)
8. Number One featuring Keri Hilson (Produced by R. Kelly, Roy 'Royalty'
Hamilton & Raphael Hamilton)
9. I Love The DJ (Produced by R. Kelly & Soulshock and Karlin)
10. Supaman High featuring OJ Da Juiceman (Produced by R. Kelly &Willy
Will)
11. Be My #2 (Produced by R. Kelly & Jack Splash)
12. Text Me (Produced by R. Kelly & Gaz)
13. Religious (Produced by R. Kelly, Eric Dawkins & Antonio Dixon)
14. Elsewhere (Produced by R. Kelly & Christopher 'Deep' Henderson)
15. Pregnant featuring Tyrese, Robin Thicke and The-Dream (Produced by R.
Kelly, Berris Bolton & DeWayne Swan)
TRACK LISTING FOR UNTITLED IS AS FOLLOWS:
1. Crazy Night featuring R. City (Produced by R. Kelly & Lil Ronnie)
2. Exit (Produced by R. Kelly & Jazze Pha)
3. Echo (Produced by R. Kelly, Infinity & Darhyl "DJ" Camper)
4. Bangin' The Headboard (Produced by R. Kelly, Darhyl "DJ" Camper &
Infinity)
5. Go Low (Produced by R. Kelly)
6. Whole Lotta Kisses (Produced by R. Kelly)
7. Like I Do (Produced by R. Kelly & LOS Da Mystro)
8. Number One featuring Keri Hilson (Produced by R. Kelly, Roy 'Royalty'
Hamilton & Raphael Hamilton)
9. I Love The DJ (Produced by R. Kelly & Soulshock and Karlin)
10. Supaman High featuring OJ Da Juiceman (Produced by R. Kelly &Willy
Will)
11. Be My #2 (Produced by R. Kelly & Jack Splash)
12. Text Me (Produced by R. Kelly & Gaz)
13. Religious (Produced by R. Kelly, Eric Dawkins & Antonio Dixon)
14. Elsewhere (Produced by R. Kelly & Christopher 'Deep' Henderson)
15. Pregnant featuring Tyrese, Robin Thicke and The-Dream (Produced by R.
Kelly, Berris Bolton & DeWayne Swan)
Sunday, November 22, 2009
JORDIN SPARKS U FRESH BAADA YA UPASUAJI.
Mkali huyu waamesema anaendelea fresh baada ya kufanyiwa upasuaji wa appendix jumanne wiki iliyopita, ambapo upasuaji huo umemfanya ashindwe kupiga show hii leo (jumapili)Australia kama alivyo kuwa amepanga awali.lakini amesema ameplane kurudi on stage next week ..na piiiiiia amewashukuru wa mafabs wake kwa saport yote walikuwa wakimpa kwa kipindi chote cha upasuaji...
Thursday, November 19, 2009
MTIKISIKO 2009 "DECEMBER YA URODA"
Hii ndo stage itayo tumika kwenye ile show ambayo hufanyika mara moja tu kwa mwaka mkoani iringa ambayo hujumuisha artist kibao yaitwa MTIKISIKO lakiiiini mwaka huu ya twasema (DECEMBER YA URODA na MITIKISIKO)show itafanyika DEC 6 pale pale uwanja wa samora
fid q
kabaisa
Hawa ni baadhi ya wasanii watakao drop dec 6 kwa ajili yakufanya kweli kwenye DECEMBER YA ORODA...kumbuka EBONY INTERTNMENT ndo kila kitu kwenye show hiyo...
LIL WEEZY NA NIVEA WAPATA BABY BOI...
R&B singer Nivea Amejifungua mtoto wa kiume mwishoni mwa wiki lilopita na mtoto ambaye ni wa Grammy Award-winning rapper Lil Wayne. hii ni kwa mujibu wa S2S magazine..Mtoto huyo amekuwa ni wa nne kwa NIVEA kutokana na kuwa na watoto wa tatu ambao aliwapata akiwa na ex-husband/producer The-Dream.
Congratulations.
Congratulations.
T.I & TINY NDOA 2010..
Baada ya kurepotiwa siku maalum ya kuachiwa huru american hiphop star TI baada ya kukaa jela miezi mi5 sasa girlfriend wa mchizi huyo wa mda mrefu 'Tiny' amesema wameplane kufunga ndoa mwaka 2010...akizungumza na XXL this month, Tiny amesema wameplane kufunga ndoa ya kifahari 2010 baada ya hiphop star TI kuachiwa huru.TI anatumikia kifungo cha mwaka mmoja tangu mwezi march baada ya kupatika na hatia ya matumizi ya silaha kinyume na sheria...
JANET JACKSON"MICHAEL DRUGS NA YEYE KTK UHAI WAKE..
Janet jackson amekili kuwa BRO wake Michael Jackson alikuwa anatumia drugs na alijaribu kumshawishi achane na matumzi hayo ila ilishindikana, na amekili kuwa Michael ilifikia atua yakushindwa kunywa maji kutokan na matatumizi ya madawa Janet kasema hayo," ABC News in an interview on Wednesday.
Janet piiia maezungumzia upcoming diet book, "True You," ambacho kitazungumzia maisha halisi...lakini piiia new documentary film ya michael Jackson amesema itatoka hivi karibuni ambayo Michael aliianda last summer katika concert tour alizokuwa akizifanya..
Janet piiia maezungumzia upcoming diet book, "True You," ambacho kitazungumzia maisha halisi...lakini piiia new documentary film ya michael Jackson amesema itatoka hivi karibuni ambayo Michael aliianda last summer katika concert tour alizokuwa akizifanya..
Tuesday, November 17, 2009
BADALA YA DEC 8 SASA DEC 15 ALBAM MPYA ALICIA KEYS..
Mkali huyu ameamua kuipeleka mbele albam yake ya sita "The Element of Freedom"ambayo mwanzo alikuwa ametangaza kuitoa December 8 lakini sasa ametangaza kuitoa December 15.ilikuwapa nafasi maproduce kufanya track zote za albam hiyo kuwa kali napia amesema kuna ngoma anafanye na mkali kutoka cash money Drake hivyo ameamua kupata muda ili kumalizia vizuri zaid yeye na maproduza wa ngoma hiyo ....
SHOW YA KUMKUMBUKA MEMBER WA TERROR SQUAD NOV 23.
New York rappers Maino, Hell Rell, Saigon, Uncle Murda kwa pamoja wameandaa show yakuenzi rapper na member wa Terror Squad Mike Beck aliye uwawa kwa kupigwa risasi october mwaka huu huko New York..show hiyo itafanyika Monday November 23, 2009 at the fabulous Imperial night club in NYC na MAINO Amesema pesa zitakazo patikana kutokana na show hiyo zitatumika kutoa misaada vyuoni nazingine atapewa mtoto wa kiume wa Mike Beck ambaye anamiaka 10 kwa sasa.....maino amesema wanategemea kupata wasanii wengi zaid watakao parfom katika show hiyo na watatumia show hiyo kupinga mashambulizi ya risasi.....nao member wa Terror Squad Fat Joe and Noreaga ambao msiba huu unawahusu sana wametoa baraka zote kufanyika kwa show hiyo na kwapamoja wamesema Mike Beck atabaki katika memory zao.....
HARAKATI ZA "RACHEL K" ZATISHA....
Rachel Kiwanuka bint huyu ni raia wa Uganda ambaye makazi yake tangu miaka 10 ilio pita ni California marekani amekwisha fanya track na R&B singer Keri Hilson na Grammy award winning Senegalese star Akon ngoma amayo inaitwa . ''Oh Africa ''na amesema track hiyo itatoka hivi karibuni na anaamini itamtabulisha kwa kiasi kikubwa ulimwenguni....ametisha..
HAPPYBIRTHDAY RAYMOND & KET DELUNA..
HONGERA KAKA Raymond francis kwakutimiza miaka 30.mungu andelee kukupa ujasiri na uzima uishi mika mingi zaidi..
piiiiiiiia Raymond ambaye ni mtangazaji wa EBONY FM kipindi cha asubui MORNING TALK leo amezaliwa na na mkali wa R&B KET DELUNA ......umetisha kaka...
SHOW KUBWA KUSINI MWEZI HUU...
Hii ilikuwa nimwaka jana katika viwanja vya samora katika MTIKISIKO .show inayoletwa na EBONY ENTERNMENT NA happen mara moja tu kwa mwaka na kuwakutanisha wasaani zaid ya 15 waaina tofauti ambao kazi yao ni moja tuu kuwatikisa wakazi wa nyanda za juu kusini.katika show inayoitwa mtikisiko.... wakazi wairinga,mbeya na mikoa ya karibu kaeni tayari the end of this mwezi SAMORA patahappen kwelikweli....
TWANGA PEPETA(mtikisiko mwaka jana)Mwaka huu imeboreshwa zaidi na twenty 4 seven itakupa tarehe na list ya wakali watakao parfom......jichange tukutane samora.....
Monday, November 16, 2009
KAMPUNI INAYO CREATE "AUTOTUNE" SASA KUITWA "ROBOTUNER"
Kampun ya Antares ambayo inatengeneza "autotune" na "iphone" wametangaza kubadilisha jina la kampuni hiyo kuwa "Robotuner" kwa lengo la kuboresha kampuni hiyo nakujizatiti ili wasiweze kuibiwa kutokana na hivi sasa kuonekana kuibiwa zaidi.....Program hizo ambazo zimejichukulia umaarufu mkubwa duniini na kupelekea maproduce wengi kuzituma....Artist ambayeye amezipa umaarufu ni T-PAIN kutoka nakutumia katika track zake hadi kupelekea watu kuziita T-PAIN lakini pia wengine twazijua kama VORKODA.. kwabongo(TZ) C PWAA huzitumiia zaidi....
LIL KIM KWA PILATO BAADA YA KUSHINDWA KUPARFORM.....
According to TMZ.com, rapper Lil Kim ameshitakiwa baada yakupokea dola $20,000 kutoka kwa mapromoter na kushindwa kufanya show 6 katika jiji la London kuanzia November 7 had nov14,lil kim ambaye alikuwa amekwisha fika LONDON amejitetea kuwa alishindwa kufanya show hizo kutokana na kusumbuliwa na nosebleed na akadai kuwa aliwataarifu promoters wa show hiyo kwamba anarudi marekani baada ya kupatwa na matatizo hayo.......lakiiiiiiini upande mwingine watu wanasema Lil kim aliamua kurudi marekani kutokana na kutokupewa utaratibu mzuri wa show hizo nakwamba chapaaa $20,000 zilikuwa ndogo naalizitumia kwa usafiri tu....
BAADA YA MIAKA 10 W. HOUSTON KUPARFORM (AMAs)
Whitney Houston amejumuishwa katika parformance ya American Music Awards (AMAs) hapo baadae mwezi huu baada kutoparform kwenye awards hizo kwa muda wa miaka kumi Houston anatarajia kuparform ngoma yake mpya 'I Didn't Know My Own Strength'....katika historia Whitney Houston ni msanii wa kike anayeongoza kwa kuchukua awards za American Music Awards (AMAs)
Stars wengine watakao parform kwenye AMAs at Los Angeles' Nokia Theatre ni Rihanna, Shakira, Jay-Z, Alicia Keys, Jennifer Lopez na The Black Eyed Peas.
Stars wengine watakao parform kwenye AMAs at Los Angeles' Nokia Theatre ni Rihanna, Shakira, Jay-Z, Alicia Keys, Jennifer Lopez na The Black Eyed Peas.
Sunday, November 15, 2009
ALBAM MPYA USHER NEXT YEAR....
Baada ya ngoma yake mpya "Papers"kufanya vizuri mpaka kufikia no.2 on the Billboard Hot R&B/Hip Hop Songs chart sasa USHER REYMOND amesema Anajipanga kurelease albam yake mpya "Raymond Vs. Raymond".mapema mwaka 2010..nawakali watakao shiriki humo ndani ni katika production/songwriting from Rico Love, Sean Garrett, Bryan Michael Cox and Pharrell.
Friday, November 13, 2009
SWINE FLU YAMNASA MEMBER WA TLC..
T-BOZ anayewakilisha kundi la TLC amedhibitika kuwa anauwa H1N1 virus wengi twaufahamu ugonjwa huu kama swine flu (mafua ya nguruwe)T-BOZ amesema kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa huo amelazimika kuchill alone na kumpeleka motto wake wa kike akaakae na bibi yake ambye ni mama mzazi wa T-BOZ…BINTI huyu amedai anachokifanya sasa nikufata ushauri wa doctor na kumeza dawa ….T-BOZ C’superstar wa kwanza kunaswa na mafua ya nguruwe last week ilireportiwa kuwa member wa kundi la BOYZ II MEN Shawn stockman alishindwa kuhudhuria Soul Train Music awards kutokana na swine flu,lakini piiiiia Brian Littrell wa Backstreet Boy alipata swine flu mwez october......
Thursday, November 12, 2009
LL COOL J KUHOST GRAMMY NOMINATION CONCERT LIVE.....
Legendary Hip Hop artist LL Cool J amechaguliwa kuwa Host wa Grammy Nominations Concert Live!kwa mwaka wa pili naitakuwa ikirushwa live na CBS kwa saa moja nakutakuwa na parformace zakutosha kutoka kwa Black Eyed Peas, Sugarland and Maxwell.
Grammy Awards kwa msimu huu zitafikia tamati Jan. 31-2010 at the STAPLES Center na itakuwa live on CBS.. LLCOOL J alisha chukua Grammy awards mara mbili katika categor moja ya "Best Rap Solo Performance"1991 na 1996,-kupitia ngoma ya"Mama Said Knock You Out" kutoka kwenye albam iliitwa jina la singo hiyo yani "Mama Said Knock You Out" , nabaada akapata Grammy awards kupitia track ya "Hey Lover" kutika kwenye albam yake ya Mr. Smith.
Grammy Awards kwa msimu huu zitafikia tamati Jan. 31-2010 at the STAPLES Center na itakuwa live on CBS.. LLCOOL J alisha chukua Grammy awards mara mbili katika categor moja ya "Best Rap Solo Performance"1991 na 1996,-kupitia ngoma ya"Mama Said Knock You Out" kutoka kwenye albam iliitwa jina la singo hiyo yani "Mama Said Knock You Out" , nabaada akapata Grammy awards kupitia track ya "Hey Lover" kutika kwenye albam yake ya Mr. Smith.
MIKE TYSON ARRESTED...
kashikashi zimezidi kumkumba Mike Iron Tyson"Baddest Man On The Planet"baada ya jana asubui(JUMA TANO)kukamatwa na police kwa kumpiga mpiga picha aliekuwa akiwapika picha LAX Airport in los angeles yeye mkewe pamoja na mwanae wamiaka10..tyson alimpa kipigo cha ukweli jamaa huyo hadi kupelekea kulazwa katika moja ya hospital los angels....Tyson bado anakumbukumbu za kufiwa na mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 4 Exodus mwezi mey mwaka huu...
CELINE DION "MISCARRIAGE"
Wednesday, November 11, 2009
J'D NA JANET JACKSON BADO PAMOJA.....
Fununu zilizo zagaa mwezi mmoja ulio pita kuwaJermaine Dupri na mpenziwe Janet jackson hawapo pamoja tena imefahamika kuwa fununu hizo hazina ukweli..fununu hizo zilikuja kufuatia wawili hao kupunguza ukaribu..lakini dupri amesema aliamua kumpa nafasi mpenzi wake huyo baada ya kufiwa na kaka yake michael jackison...janet jakison naJermaine Dupri tangu kifo cha michael wamekuwa hawoneka mara kwa mara machoni mwa jamii, kwa mara ya kwanza janet atonekana kwenye exclusive interview katika kituo cha TV cha ABCkatika show ya Robin Roberts Wednesday, November 18..
Tuesday, November 10, 2009
EVANDER HOLYFIELD KUZIPIGA LIVE KAMPALA..
Mkali huyu wa masumbwi Evander Holyfield anatarajia kudrop kampala Uganda kwa ajili ya mpambano wake mkali on December 19, 2009 dhidi ya mpinzani wake kutoka afrika ya kusini Francois “White Buffalo" Botha hilo litakuwa nipambano kubwa la ndonga kufanyika Kampala na itakuwa ni mara ya kwanza kwa Evander Holyfield kufanya pambano UGANDA...
MWISHO WA NDOA USHER NA TAMEKA
Ndoa iliyodumu kwa miaka miwili kati ya R&B star Usher raymound na Tameka ambaye anapika dili ya kuwa make-up artist imefikia tamati baada ya file la kumtaalaka mkewe huyo lililofunguliwa na Usher miezi mitano iliyopita kutekelezwa...wawili hao ambao wanawatoto wawil wakume hawakuwa pamoja kama family kwa muda wa mwaka mmoja...Usher alifungua file la kumoa talaka Tamika june 12 mwaka huu na niwazi Usher ameonekana kuto kumta tena mkewe huyo...
RIHANNA,MICHELLE OBAMA"WOMEN OF YEAR"
Rihana ameungana na first lady wa amerika Michelle Obama, British fashion designer Stella McCartney na wengine tisa kutunukiwa heshima ya 'Women of Year" Women of the Year Awards, inaandaliwa na Glamour Magazine tangu miaka 20 iliyopita na inadhaminiwa na L'Oreal,na inawahususha mwanamke ambaye yupo kwenye entertainment, business, sport, fashion, science and politics.Rihana ameingia katika award hizo baada ya kuzungumza hadharani kuhusina na kupingwa na ex-boyfriand wake chris brown....mcheza tenes maarufu
Serena Williams ameingia katika orodha hiyo baada ya kutumia Foundation yake ya (Serena Williams Foundation) kuwapa msaada US college students na baadhi ya secondary school za Kenya.washindi wa "Women of Year"wafahamika des kupitia gazeti la Glamour magazine na maamuzi ya nani mshindi yatakakuwa chini ya bord inyoundwa na walio wai kuwa washindi wa awards kuanzia kwa Jennifer Lopez to Nora Ephron to Katie Couric.
Serena Williams ameingia katika orodha hiyo baada ya kutumia Foundation yake ya (Serena Williams Foundation) kuwapa msaada US college students na baadhi ya secondary school za Kenya.washindi wa "Women of Year"wafahamika des kupitia gazeti la Glamour magazine na maamuzi ya nani mshindi yatakakuwa chini ya bord inyoundwa na walio wai kuwa washindi wa awards kuanzia kwa Jennifer Lopez to Nora Ephron to Katie Couric.
DEC 15 WEEEZY NA ALBAM MPYA YA ROCK..
Baada ya kuchelewa kutoka kwa albam ya "Rebirth,"ambayo itakuwa ni ya rock sasa Universal Music Group wataja tarehe ya kutoka kwa albam hiyo ya lil wyne Dec. 15 awali albam hiyo iliikuwa itoke April 7mwaka huu , single ya kwanza kutoka kwenye albam hiyo "Prom Queen," produced by Infamous and Andrew "Drew" Correa, ambayo ilikamata no. 15 on the Billboard Hot 100. Second single "Hot Revolver" ilikamata No. 33 on the same tally. artist watakao shiriki katika albam hiyo baadhi wanafanya rock ni pamoja na Lenny Kravitz, Travis Barker and Young Money/Cash Moneyartist Drake ,likini piiiiia kwenye "Rebirth," albam kuna mikono ya Cool and Dre na track iliyovuja kabla haijatoka Fix My Hat," produced by Drew Money nimoja kati ya tracki zitakazo kuwemo kwenye albam hiyo...
Monday, November 9, 2009
KARIBU NYUMBANI........
Mtanzania elizabert gupta jana ametolewa katika kinyanganilo cha bigbrother baada yakukaa katika jumba hilo kwa wiki kadhaa....sehemu uliofikia dada yetu sio ya kubeeza hongera sana......karibu nyumbani/////
OLIVIA NA SABABU ZA KUJITOA G-UNIT
Binti ameatolea ufafanuzi juu ya kujitoka kwake katika label ya G-unit huku akisema sababu kubwa ni kutokana na label ya G-UNIT kuto kuwa na wa wanaofanya musik wa aina yake yani R&B.huku akisema bado anamawasiliano mazuri na lloyd banks na tony yeyo.lakin piaaa ameonekana kumdisi 50-cent kwa kusema"50 really had to do everything himself. He doesn't know about R&B...I still talk to Banks and Yayo all the time lakini sio 50 alisema olivia wakati akiojiwa nakituo kimoja cha redio huko new york..bint huyo mrembo alipo ulizwa kuhusiana na kimya chake kwenye game amesema sasa ivi anafanya movie natayari movie tatu zipo tayari Peephole na nyingine inaitwa Conspiracy X..... na amesema ivi sasa anajipanga kama solo artist na kawataka mafance wake wasubiri R&b ZA UKWELI...;...
WIZI WATAWALA ALBAM MPYA YA 50....
Jamaa ameelezea juu ya habari zilizozagaa kitaa kuhusiana na kuvuja kwa albam yake mpya Before I Self Destruct kwenye internet kabla hajairelease,huku wengi wakisema albam yake hiyo haito uza kama albam yake iliyopita...50 amesema anakili hilo kutokea lakini amesema hakuna anayeweza kujaji mauzo ya albam hiyo na amewataka mafance wake wasubili waone...wakati huo huo 50 hii leo usiku anarelease tracklist ya albam hiyo yenye record 16 na bonus tatu,DJ Premier, Dr. Dre,Timbaland Eminem, Lloyd Banks, Ne-Yo and R. Kelly wote hao wameshiriki katika albam hiyo ambayo anaiachia nov 23.na imefanyiwa finalize naInterscope..
Sunday, November 8, 2009
DMX ULINGONI DECEMBER
Rapper DMX anatarajia kupanda Ulingoni Alabama Pride on December 12 kuzichapa na mwanamuziki lakini pia nimpiganaji Eric Martinez,Rapper DMX atapigana baada ya kampuni Thunder Promotions kumtaka apigane pambano hilo la kusindikiza pampano kubwa siku hiyo kati ya Butterbean na Tank Abbott. lakini hivi karibuni DMX katika kituo kimoja cha radio Washington’s 106.7FMThe Fan aliwambia mafance wake ameamua kucheza mchezo huo kwa kuwa anaupenda na sikimaslai zaidi kama wengine wanavyo zani.......
Friday, November 6, 2009
CHRIS BROWN AVUNJA UKIMYA......
Mchizi amekili kujisikia vibaya jinsi jamii inavyo mchukulia huku akisema wengi walipenda afungwe baada ya kumchapa ex-girlfriend wake Rihana wezi february after part fulani huko los angeles...... "(My fans) love me and support me. (But the public) don't want to see me do anything... they wanna see me kind of, basically in jail." chris brown kayasema hayo wakati akifanya interview na MTV This week.....kutokana na kosa hilo chris breeze kufanya kazi za kijamii kama unavyo mcheki pembeni na piaaaaaa amepewa miaka mi5 ya probation na katika miaka hiyo mitano hatakiwi kumkaribia kabisaaaa kimwana Rihana..
Thursday, November 5, 2009
DJ WAXXY + BIGBROTHER = JUMAMOC HII....
Dj wa kwanza afrika kufanya mixing za video na scratch Dj Waxxy ambye ni Dj Channel O,jumamosi hii atadrop ndani ya jumba la bigbrother kwa ajili ya kuwaburudisha washiriki 9 waliobaki katika jumba hilo ambao mpaka sasa wameishi kwenye jumba hilo kwa muda wa siku 62...............
Dj waxx anakuwa superstar wa 5 tembelea jumba hilo msimu huu baada ya, D'banj kutoka Nigeria , R&B sensation, Keri Hilson na Face of Africa winner, Kate Menson kuzuru katika jumba hilo......
Dj waxx anakuwa superstar wa 5 tembelea jumba hilo msimu huu baada ya, D'banj kutoka Nigeria , R&B sensation, Keri Hilson na Face of Africa winner, Kate Menson kuzuru katika jumba hilo......
EMINAM,J-LO,ALICIA KEYS & JAY Z KWENYE STAGE 1 NOV HII......
Mkali huyu amejumuishwa katika kundi la wasanii watakao perform kwenye American Music Awards zitakazofanyika Los Angeles (November 22) 8:00 PM na show hiyo itarushwa ABC.eminam ameungana pamoja na Kelly Clarkson, Jennifer Lopez, The Black Eyed Peas, Jay-Z, Alicia Keys and Lady Gaga ili kuparform katika show hiyo..na piiiiiia newz zinasema wasanii wengne watajumuishwa next week...
Subscribe to:
Posts (Atom)